DHANA YA ISIMUJAMII
Hapa tunaangali vile vitu muhimu ambavyo vinajenga lugha.Hapa tunaviangalia vile vikuu vinne ambavyo ni-:
1)Fonolojia
2)Mofolojia
3)Sintaksia
4))Semantiki
Katika kuchunguuza lugha yoyote vitu hivi ni muhimu sana katika kuchambua tofauti na tabia ya lugha husika. Kupitia vipengele hivi tunaweza kutambua utofauti katika matamshi,maneno,muundo na maana husika katika lugha ambayo unataka kuingalia na kutaka kutoa tofaut zilizopo katika lugha hiyo.
Kwa ujumala isimujamii inalenga vitu muhimu katika uchuunguzi wa lugha husika.
Iko vizuri mashaallah
ReplyDeleteAsant sana
ReplyDeletemawanda siyaoni na ndiyo yalinifanya nifuate kazi yako. asante
ReplyDelete