Posts

Showing posts from December, 2020

JAMII LUGHA

Image
 Isimu jamiii na jamiiilugh

TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION

  TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION A GUIDE ON PROCEDURES AND ROLES OF CURRICULUM PANELS AND COMMITTEES   TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION A GUIDE ON PROCEDURES AND ROLES OF CURRICULUM PANELS AND COMMITTEES 2013 Designed and prepared by: Tanzania Institute of Education  P.O. Box 35094 Dar es Salaam, Tanzania Tel: 255-22-2773005 Fax: 255-22-2774420 Email: director@ti.go.tz © Tanzania Institute of Education, 2001 ISBN:  First Edition 2001 SecondEdition 2009 ThirdEdition 2013 All rights reserved.  This guideline may not be reproduced, stored in any retrieval system or transmitted in any form or by any means, electronic, mechanical, photocopying, recording or otherwise without prior written permission of the Tanzania Institute of Education. TABLE OF CONTENTS Page TABLE OF CONTENTS iii PREFACE v ABBREVIATIONS vi 1.0 Introduction 1 2.0 Curriculum Panel and Committee 2 2.1 Curriculum Panels 2 2.2 Curriculum Committee 3 3.0 Appointment of C...
 https://drive.google.com/file/d/1TKl-9A7QDBQkYM3pH-9oqr05nAPP1MU_/view?usp=drivesdk

TUJIFUNZE KIDOGO

Image
 

TUOMBE KWAKE

 

TUKUMBUKE!!!!

 

DHANA YA ISIMUJAMII

 Hapa tunaangali vile vitu muhimu ambavyo vinajenga lugha.Hapa tunaviangalia vile vikuu vinne ambavyo ni-: 1)Fonolojia 2)Mofolojia 3)Sintaksia 4))Semantiki Katika kuchunguuza lugha yoyote vitu hivi ni muhimu sana katika kuchambua tofauti na tabia ya lugha husika. Kupitia vipengele hivi tunaweza kutambua utofauti katika matamshi,maneno,muundo na maana husika katika lugha ambayo unataka kuingalia na kutaka kutoa tofaut zilizopo katika lugha hiyo. Kwa ujumala isimujamii inalenga vitu muhimu katika uchuunguzi wa lugha husika.

Muendelezo...........

 Isumu jamiii ya mawanda finyu hii inaangalia pande mbili kuu  1) Uhusiano wa wazungumzaji na Lugha 2) Tofauti za wazungumzaji wa lunga

MAWANDA YA ISIMUJAMII

 Tunapata mawanda mawili(2) makubwa 1) Isimu jamii ya mawanda finyu 2) Isimu jamii ya mawanda mapana

ISIMU JAMII

 Tunapozungumza isimu jamii tunaangalia uhusiano uliopo baina ya lugha na jamiii.Hapa tunaweza kuona vitu vingi sana vinavyofanya jamii moja na nyengine itofautiane katika mazungumzo.katika mustakbali huo wanaisimu jamii walipata nafasi ya kuangalia tofauti hzo

Karibu sana

 Karibu sana katika maisha ya kujisomea na kujitafutia ujuzi kupitia maendeleo yaliyopo katika 

Elimu ni ufunguo wa maisha??