ISIMU JAMII
Tunapozungumza isimu jamii tunaangalia uhusiano uliopo baina ya lugha na jamiii.Hapa tunaweza kuona vitu vingi sana vinavyofanya jamii moja na nyengine itofautiane katika mazungumzo.katika mustakbali huo wanaisimu jamii walipata nafasi ya kuangalia tofauti hzo
Comments
Post a Comment